Tangaza Hapa Ad

Mix

Miss TZ Diana na Kampeni ya ‘Dondosha Wembe’ kuwanusuru Watoto wa kike

on

Moja ya sababu zinazotajwa kuwarudisha nyuma Wanawake ni ukeketaji ambapo kampeni na harakati mbalimbali zimekuwa zikifanywa kuhakikisha Mwanamke anathaminiwa na kupewa heshima yake.

Miongoni mwa watu waliokuwa na shauku kuhakikisha Mwanamke anakuwa na hadhi ni pamoja na Miss Tanzania 2016 Diana Edward ambaye ana Kampeni yake inayoitwa “Dondosha Wembe” ikiwa na lengo la kupinga vitendo viovu kwa wasichana hasa wa shule ikiwemo ukeketaji, ubakaji na unyanyasaji kijinsia.

Leo July 28, 2017 Kampeni hiyo imewafikia Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwandeti iliyopo Ngaramtoni, Arusha ambayo inaelezwa zaidi ya 75% ya Wanafunzi wa kike wamefanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo kukeketwa.

Kila kitu kipo kwenye VIDEO hii…bonyeza PLAY kutazama!!

Alichosema Miss TZ Diana baada ya kupewa gari lake miezi 6 baada ya fainali (+video)

ULIPITWA? Familia zasimulia walivyotolewa kwenye nyumba wakidaiwa sio wamiliki…kila kitu kipo kwenye VIDEO hii bonyeza play kutazama!!!

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement