AyoTV

Harmonize baada ya post ya Wolper instagram

on

Msanii wa Bongofleva kutoka record label ya WCB Harmonize usiku wa September 12 alipost video akiwa na mpenzi wake wa sasa Sarah katika ukurasa wake wa instagrama wakiwa pamoja wanapika tambi lakini video iliambatana na caption ambayo inadaiwa kuwa imemlenga mpenzi wake wa zamani, Jacline Wolper kutokana na kuachia wimbo mpya unadaiwa kumgusa.

KAMA ULIPITWA: Wolper afunguka sababu za kuachana na Harmonize (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments