Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Good news aliyoitangaza Mbwana Samatta leo

on

Baada ya watanzania na mashabiki wa soka watanzania wakiwa wanasononeka kutokana na kipenzi chao na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta kusikia kuwa ameumia goti na kukaa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili alipoumia akiwa na timu yake ya KRC Genk ya Ubelgiji.

Leo January 6 2017 Mbwana Samatta amewatangazia watanzania good news, Samatta amewajulisha mashabiki wake na watanzania kuwa baada ya kuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili sasa amerudi uwanjani na ameanza mazoezi mepesi mepesi.

Samatta taarifa hizo amezitoa kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kuandika hivi β€œNina furaha, kuanza mazoezi ya uwanjani baada ya kuwa nje kwa takribani miezi miwili kutokana na maumivu ya goti ?”>>>Samatta

George Weah amemtumia mualiko kocha Arsene Wenger

Soma na hizi

Tupia Comments