Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Kilichowahi kumkatisha tamaa Juma Mahadhi wa Yanga katika soka

on

Najua unatamani kujua kuhusiana na kinda mpya wa Yanga aliyejiunga na timu hiyo akitokea Coastal Union Juma Mahadhi kutokana na uwezo wake kiasi cha kupelekea kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa  kumuita katika kikosi cha Taifa Stars, AyoTV imempata katika exclusive interview

“Toka nimeanza kujitambua kuanza kucheza soka rasmi 2010  nilipata nafasi ya kucheza Coastal Union, baada ya kucheza mashindano ya Uhai Cup nikapandishwa Coastal Union ya wakubwa lakini msimu uliofuatia nikashushwa, ilikuwa 2014 kiukweli nilikata tamaa na kwenda Zanzibar kucheza soka na baadae nikarudi” 

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement