Biko


Tangaza Hapa Ad

Burudani

Wasanii wa Afrika waliyotajwa kuwania tuzo za MTV Europe

on

Mwaka 2017 vipengele vya tuzo za MTV Europe Music Awards zimetangazwa na zitafanyika November 12 jijini London na baadhi ya wasanii kutokea Bara la Afrika kutajwa hususani NigeriaSouth Africa, Angola na Kenya wametajwa kuwania tuzo hizo.

Wasanii wanaowania tuzo hiyo ya Best African Act 2017 ni pamoja na Davido na Wizkid wanaotokea Nigeria, NastyC  pamoja na Babes Wodumo kutokea South Arica, Nyashiski kutokea KenyaC4 Pedro kutokea Angola, tuzo ya tuzo ya Best African Act 2016 alishinda Alikiba wa Tanzania.

Utambuzi wa muziki wao unaofanya vizuri Afrika na Duniani kwa ujumla umewapa jukwaa la kutambulishwa na kuwa miongoni mwa wanamuziki waliochaguliwa katika MTV European Music Awards 2017, kwa mwaka huku hakuna msanii wa Tanzania aliyetajwa.

“Nikimaliza mahusiano yangu na aliye South na kupata mwingine nitaweka wazi”-Diamond

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement