Biko Ad
CRDB Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Timu zilizoingia 16 bora ya UEFA Champions League na matokeo yake

on

Usiku wa December 6 2017 hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 ilimalizika rasmi kwa game nane kuchezwa barani Ulaya na sasa tumezifahamu jumla ya timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League.

Matokeo ya game nane za mwisho za hatua ya makundi UEFA Champions League zilizochezwa usiku wa December 6 2017.

Michuano imemalizika na tumeshuhudia timu za Napoli na Borussia Dortmund ambazo tumezoea kuziona zikifanya vizuri katika michuano ya UEFA Champions zikiondolewa katika hatua ya Makundi ya michuano hiyo kitu ambacho hakijazoeleka sana.

Timu zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2017/18.

VIDEO: Atayofanya Mo Dewji kwa Simba ndani ya mwaka mmoja

Soma na hizi

Tupia Comments