Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Oparesheni inaendelea DSM, hadi kufikia leo watu zaidi 80 mikononi mwa Polisi

on

Wiki moja imepita Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda atoe Tsh milioni 10 kwa kampuni ya Msama Auction Mart inayoshirikiana na mamlaka ya mapato Tanzania TRA kudhiti kudurufu kazi za wasanii na kulinda mapato ya nchi.

Leo Polisi wakiambatana na mkurugenzi wa kampuni ya Msama Auction Mart wamepita mitaa mbalimbali ya Kinondoni, Mwenge, Tegeta na Manzese kuendelea na oparesheni ya kukagua na kukamata wanaodulufu kazi za wasanii huku wakikwepa kulipa kodi.

Hadi kufikia mchana wa leo Alhamisi ya November 23 2017 zaidi ya watu 80 wamekamatwa kwa operesheini inayoendelea mtaa kwa mtaa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kudhibiti ukwepaji kodi na kudhulumu kazi za wasanii.

KAMA ULIPWA NA POLISI WALIVYOKAMATA WATU KARIAKOO

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement