Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

SportPesa wameongeza nguvu michuano ya vyuo vikuu 2017

on

Kampuni ya michezo ya ubashiri ya SportPesa leo Jumanne ya December 12 2017 imetangaza rasmi kuingia udhamini wa mashindano ya michezo ya vyuo vikuu itakayofanyika mjini Dodoma.

Kutoka kushoto ni Gadner G Habash mtangazaji wa Clouds FM, Sabrina Msuya afisa uhusiano SportPesa akiwa na mtendaji Mkuu wa SHADAKA Nasry Msulwa.

SportPesa imedhamini na kukabidhi vifaa kwa mwenyekiti wa Tanzania Universities Sports Association ( TUSA) Winstone Mdegela ikiwa ni siku chache kabla ya kuanza kwa michuano hiyo December 14 2017 na itamalizika December 20 2017.

Mashindano ya vyuo vikuu kwa mwaka 2017 yatashirikisha vyuo vikuu 23 na inaandaliwa na Clouds Media Group na SHADAKA Sports Management wakipewa udhamini na SportPesa.

VIDEO: Atayofanya Mo Dewji kwa Simba ndani ya mwaka mmoja

Soma na hizi

Tupia Comments