Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

TFF imechezesha droo ya Kombe la FA leo, Yanga kapangwa na huyu

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo Ijumaa ya January 5 2017 limechezesha droo ya round ya tatu ya michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup, baada ya droo hiyo kuchezeshwa Yanga wamepangwa kucheza jijini Mbeya dhidi ya wenyeji wao Ihefu FC.

Green Warriors waliyowatoa Mabingwa watetezi wa michuano hiyo Simba SC, wao watacheza dhidi ya Singida United, kwa upande wa Azam FC wao wamepangwa kucheza dhidi ya Shupavu FC lakini Azam FC watakuwa ugenini.

Simon Msuva amerudi Tanzania leo, alichozungumza kipo hapa

Soma na hizi

Tupia Comments