Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Dakika moja ya magoli ya Taifa Stars vs Malawi, FullTime 1-1


Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Malawi Jumamosi ya October 7 na kulazimishwa sare ya kufungana magoli 1-1, goli la Malawi lilifungwa na Ngambi Robert dakika ya 35 la kusawazisha kwa Taifa Stars lilifungwa na Simon Msuva dakika ya 57.

KITU SAMATTA KAONGEA KABLA YA KUCHEZA NA MALAWI

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement