Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

Waziri Ummy Mwalimu alivyojichanganya na mashabiki kuishangilia Coastal Union leo

on

Jumamosi ya January 13 2018 michezo ya Ligi daraja la kwanza ilichezwa katika viwanja mbalimbali, lakini katika uwanja wa Mkwakwani Tanga Coastal Union walikuwa ni wenyeji wa Mufundi.

Coastal Union leo wakiwa katika uwanja wao Mkwakwani Tanga wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0, hivyo safari yao ya kurejea Ligi Kuu wameiweka vizuri.

Ukiachana na matokeo hayo kivutio kilikuwa ni waziri wa afya Ummy Mwalimu ambaye ameonesha dhamira ya dhati ya kutaka timu yake ya Coastal Union irudi Ligi Kuu na alikuwa uwanjani kushangilia na watu wengine kama mtu wa kawaida hivi ndivyo ilivyokuwa.

Rekodi aliyoiweka Guardiola baada ya kushinda tuzo ya kocha bora wa mwezi

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement