Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: DC Godwin Gondwe alivyotambulisha bidhaa ya Wema Sepetu Tanga

on

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameanza kutembelea mikoa mbalimbali Tanzania ambapo kaanzia na Tanga kwa kufanya show yake ya Vigoma lakini pia akatambulisha bidhaa zake zenye jila la Wema Sepetu ambapo mgeni rasmi alikua mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe.

KAMA ULIIKOSA WEMA SEPETU AKICHEZA VIGOMA MKWAKWANI STADIUM BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement