Tangaza Hapa Ad

MWANZA: Lori lililobeba vioo limeua watu wawili leo


Leo February 5, 2017 limetokea tukio lililopoteza maisha ya Watanzania wawili baada ya kubanwa kwenye gari wakati wa zoezi la kushusha vioo kwenye lori la mizigo.

Nyanda Paul ambaye mmoja aliyenusurika alisema “Wakati tunaendelea kushusha vioo hawa mabwana walikua wanafanya service wakiwasha gari na kuzima lakini tukawaambia waache kwanza tumalize kushusha kioo lakini wakaendelea kumbe gari inasogea taratibu’

VIDEO: Weekend iliyopita ajali ya Treni ilitokea Tanzania, tazama ilivyokua kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement