Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 16: Kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori Dar October 30

on

October 30  2016 maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam imetokea ajali ambayo imehusisha basi la abiria liitwalo Safari Njema lenye namba ya usajili T 990 AQF ambalo limegongana na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ na kusababisha kuwaka kwa magari hayo yote mawili na kupelekea kifo cha abiria mmoja na majeruhi 10.

Millard Ayo na Ayo TV imempata Mkaguzi Msaidizi wa Zimamoto,Kabanda Makene kayaongea haya>>Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane ndio taarifa tulizozipata kwanza walikuja watu wa kuzima moto huu ambao walikuwa ni wakujitolewa baadae watu hawa walifukuzwa na wananchi kwa mawe’

‘Idadi ya Majeruhi ni 10 na mwili mmoja wa abiria aliyeungua katika basi hilo lililokuwa likitokea Dodoma liitwalo Safari Njema na kugongana na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ, chanzo ni uzembe wa madereva hao wote wawili ambao katika eneo la tukio hawakuwepo kwahiyo mengineyo tuachie Jeshi la Polisi’

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

UNAWEZA UKAITAZAMA HII VIDEO  YA ENEO ILIPOTOKEA AJALI HIYO YA BASI LA ABIRIA NA LORI OCTOBER 30, 2016

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement