Tangaza Hapa Ad

Mix

Magereza wasababisha Mrema kumuandikia barua Waziri Mkuu

on

Mwenyekiti wa Parole nchini Tanzania Augustine Mrema, amesema kuwa ameamua kumuandikia barua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa taarifa juu ya zuio la Jeshi la Magereza kuwatoa wafungwa waliolipiwa faini na Mchungaji mama Lwakatare bila kueleza sababu.

Mrema ametoa taarifa hiyo baada kupigwa stop kwa mpango wa kuwatoa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kifungo magerezani huku wakiwa na makosa madogo au yanayojadilika na kulipiwa dhamana ambapo tayari wapo wananachi waliojitolea kulipa faini ya vifungo vyao.

Taarifa ya Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole Augustine Mrema kuhusu barua yake kwa Waziri Mkuu ipo hapa.

VIDEO: Jeshi la Polisi limetoa majibu kuhusu biashara ya Shisha 

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement