Top Stories

BAJETI KUU YA SERIKALI: Wananchi wafunguka wanachohitaji kiwepo

on

Leo June 13, 2018 TGNP Mtandao wamewakutanisha Wananchi kutoka Mikoa mbalimbali nchini ili kutoa maoni ya kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali itakayowasilishwa kesho June 14, 2018 Bungeni mjini Dodoma.

Baadhi ya wananchi wametaka bajeti iongezwe katika elimu, maji na kwenye miundombinu ya barabara, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama maoni ya baadhi ya Wananchi.

Maneno ya Rais Magufuli kwa TB Joshua katika Birthday yake

Soma na hizi

Tupia Comments