Biko Ad
CRDB Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

HEKAHEKA: Aliyedaiwa kubaka watoto watatu, kadaiwa kubaka tena

on

Kutokea Chanika Dar es Salaam Geah Habib kainasa Hekaheka na kutusogezea kupitia Leo Tena ya Clouds FM leo September 6, 2017 ambapo inamhusu mtu mmoja ambaye anadaiwa kuwa na tabia ya kubaka watoto na watu wazima.

Inadaiwa mtu huyo alishawahi kufikishwa Polisi kwa kosa la kuwabaka watoto watatu lakini kesi yake haikufika popote…sasa hivi karibuni alidaiwa kumbaka mke wa mtu baada ya kumpakia kwenye Bajaj akidai anampeleka nyumbani kwake lakini mwishowe akaishia kumbaka.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza ilikuwaje akabakwa mwanamke mwenye miaka 41 na ana watoto wanne.

Geah Habib kainasa ishu ya mzazi aliyemchapa fimbo Daktari (+Hekaheka)

Soma na hizi

Tupia Comments