Tangaza Hapa Ad

Mbunge alivyojipanga kutoa ajira kwa watu zaidi ya elfu 80


Kufuatia agizo la President Magufuli juu ya ujenzi wa Uchumi wa Viwanda, baadhi ya viongozi wameanza kuonyesha mfano wa kuunga mkono jitihada hizo akiwemo Mbunge wa jimbo la Bukoba Vijijini Jasson Rweikiza.

Akiongea na Ayo Tv na millardayo.com, Rweikiza amesema kuwa hakuweza kuudhuria katika kongamano la Azimio la Kagera kutokana na kubanwa na majukumu mengine ya kitaifa lakini yeye ni miongoni mwa watu waliojitoa kujenga viwanda ambapo yeye amejenga kiwanda cha kusindika nyanya Jimboni kwake na kinatarajia kuanza kazi hivi karibuni.

“TUWAULIZE TSH MILIONI 360 WALIMPA NANI?” -MOLEL, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement