Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Mhasibu amedai nyoka amekula Milioni 200

on

Leo February 13, 2018 stori nayo kusogezea ni kumhusu Mhasibu mmoja amefukuzwa kazi baada ya kuwaambia Wakaguzi wa hesabu kuwa nyoka alikula fedha naira Milioni 36 ambazo ni sawa na Milioni 200 za Tanzania, nchini Nigeria.

Karani Philomena Chieshe alikuwa akifanya kazi katika ofisi ya Bodi ya Mitihani ya Nigeria inayokusanya pesa za mitihani.

Bodi hiyo ya mitihani ilitupilia mbali madai yake na imeanisha kumchukulia hatua za kinidhamu, Kisa hicho kimezua shutuma na dhihaka kwenye mitandao ya kijamio nchini Nigeria.

Nayo tume ya kupambana na rushwa nchini Nigeria iliandika ujumbe huu katika Twitter ambayo nembo yake ni mwewe.

Mpina ameagiza Watendaji katika Wizara yake kusimamishwa kazi

Soma na hizi

Tupia Comments