Premier Bet

Top Stories

Ajali ya Moto wa Bomba la gesi Buguruni zimamoto wazungumza haya

on

Moto mkubwa umezuka katika eneo la Kwa Mnyamani Buguruni Dar es salaam baada ya bomba la gesi kupasuka huku Chanzo kikidaiwa kuwa ni wanaochimba barabara kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya maji (DAWASCO) moto huo umeathiri mali za baadhi za wakazi waliopo jirani na eneo hilo.

Askari wa wazima moto ameelezea jinsi walivyofika eneo husika na kuwasiliana na watu wa gesi kisha baadae kuuzima moto huo japo walikuta baadhi ya vitu vimeibiwa ikiwa ni pamoja na changamoto ya kupata barabara iliyosahihi kufika eneo husika kitu kilichosababisha kuchelewa kufika katika eneo husika.

Tazama kwa kubonyeza PLAY hapa chini kusikiliza kila kitu..

Athari za mvua DSM, ashindwa kuonana na ndugu yake

Soma na hizi

Tupia Comments