Tangaza Hapa Ad

Michezo

Nusu fainali ya Champions League Juventus vs ? Real Madrid vs?

on

Baada ya kumalizika kwa michezo ya robo fainali usiku wa April 18&19 2017 leo April 21 2017 ilikuwa ni zamu ya shirikisho la soka barani Ulaya UEFA kuchezesha droo ya nusu fainali.

Droo imechezwa na timu zilizofuzu kucheza hatua hiyo AS Monaco, Real Madrid, Juventus na Atletico Madrid wameshajua wamepangwa na timu gani.


VIDEO: Game haikuoneshwa Yanga vs MC Alger, nimeyanasa matukio na goli la Yanga FT 1-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement