Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

‘Mchakato wa Katiba Mpya utarudi tu’- Mwanasheria

on

Leo February 13, 2018 William Benjamini amabye ni Afisa na Mwanasheria katika kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ambaye ana shughulika na mchakato wa katiba ameongea na waandishi wa habari kuhusu mchakato wa Katiba mpya nchini hususani kwa Vijana.

Benjamini amesema waliendesha mafunzo kwa Vijana wa Vyuo Vikuu nchini Tanzania ambayo walihusisha wanafunzi wa vilabu vya Haki za Binadamu ndani ya vyuo kutoka kati vyuo zaidi ya tisa na lengo likiwa ni kuwajengea uwezo juu ya mchakato wa katiba nchini.

Mambo ya Kufahamu baada ya Kituo cha HAKI ZA BINADAMU kuita Waandishi wa Habari

Soma na hizi

Tupia Comments