Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Ushindi wa 6-0 wa Yanga vs Jamhuri ya Pemba Mapinduzi Cup 2017

on

Magoli ya Yanga dhidi ya Jamhuri yalifungwa na Simon Msuva dakika ya 19, 40, Donald Ngoma dakika ya 23, 37, Thabani Kamusoko dakika ya 59 na goli la mwisho la Yanga lilifungwa na Juma Mahadhi akitokea benchi, kwa matokeo hayo Yanga wanapata nafasi ya kuongoza Kundi B wakiwa na point 3 sawa na Azam FC ila Yanga anaongoza kwa tofauti ya goli 5.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement