Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Aweso alivyoamuru Meneja, Mhasibu wakamatwe kisa Milioni 15 (+video)

on

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameamuru kukamatwa kwa Meneja wa Bodi ya Wadhamini ya Watumia Maji katika Kata ya Heru juu Wilayani Kasulu baada ya kutuhumiwa kufanya ubadhilifu wa fedha zaidi ya Shilingi Milioni 15 za makusanyo katika mradi wa maji.

Akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kigoma Naibu Waziri Aweso amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi wa Kata ya Heru juu walioeleza kutoridhishwa na uendeshwaji wa mradi huo ambao umekuwa si wa uwazi ikiwemo kutokusomewa mapato na matumizi huku taarifa za awali kutoka kwa Mkaguzi zikibainisha Milioni 15 zimetumika nje ya mfumo. 

LUGOLA “NIKUMBATIENI MIMI NI JEMBE ULAYA, NITALITUMIA JEMBE HILI”

Soma na hizi

Tupia Comments