Tangaza Hapa Ad

AyoTV

‘Sipendi uongo, hakuna ya mimi na Davido’ – Christian Bella

on

Mwimbaji hodari Christian Bella amekaa kwenye AyoTV Entertainment na kujibu kile kilichosambaa kwamba anatarajia kufanya kolabo na mwimbaji staa wa Nigeria Davido.

‘Mimi napenda kuongelea kitu ambacho kimefanyika tayari, kuna mtu aliongelea hiyo ishu ya mimi kufanya kolabo na Davido lakini sio mimi…’ – Bella

Mtazame zaidi kwenye hii video hapa chini….

VIDEO: Tazama Christian Bella alivyo-perform kwenye FIESTA 2016 Dar es salaam kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement