World Sales Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Navy Kenzo waongea baada ya Tanzania kukosa tuzo MTV MAMA 2016

on

Ikiwa mwaka 2016 Tanzania imeandika historia ya kutoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizotolewa 22 October 2016 kwenye ukumbi wa Ticket Pro Dome Johannesburg Afrika Kusini.

 Sasa kundi la Navy Kenzo  lililokuwa likiwania tuzo ya Best Group limefunguka kuhusu Tanzania kukosa tuzo hizo na kuyaongea haya>>>>Kwanza  kukosa tuzo ni kitu cha kawaida pia kuchaguliwa kuwania tuzo hizo ni mshindi ninachowaomba mashabiki na watanzania wasikate tamaa waendelee na jitihada za  kura kupiga kwa wingi pale Tanzania inapowakilishwa na msanii kwahiyo wasikate tamaa’

Unaweza ukabonyeza play kuwatazama Navy Kenzo wakizungumzia Tanzania kukosa tuzo za MTV MAMA 2016

ULIIKOSA HII YA WIZKID ALIVYOPOKEA TUZO YA BEST MALE ILIYOKUWA IKIWANIWA NA DIAMOND PLATNUMZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement