Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

MKURUGENZI TAKUKURU: afafanua kuhusu malalamiko ya Nassari na Lema (video)

on

December 18, 2017  waandishi wa habari wa millardayo.com na AyoTv wamemtafuta  Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valentino Mlowola ili aweze kutolea ufafanuzi kuhusu tuhuma mbalimbali za rushwa zilizowalishwa TAKUKURU.

Moja ya kitu alichoongea Mlowola ni kuhusu taarifa iliyopelekwa TAKUKURU na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari pamoja na Godbless Lema wa Arusha kuhusu madai ya Madiwani kununuliwa ili wahamie CCM.

“Uchunguzi wa tuhuma zote za rushwa unaendelea mpaka tunapojiridhisha, hakuna kesi ya Nassari hapa, Nassari alileta taarifa, hapa tunapokea taarifa kutoka vyanzo mbalimbali, hata akija mwendawazimu, lazima pawe na thamani ya kufikishwa mahakamani,” – Mlowola

ALICHOANDIKA JOSHUA NASSARI KUHUSU TAKUKURU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments