Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

BUNGENI: Mambo matatu Tanzania inakabiliwa nayo sasa hivi – Hussein Bashe

on

February 6 2017 Bunge limeendelea ambapo kazi kubwa ilikuwa ni Wabunge kujadili taarifa ya shughuli za kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya ukimwi kwa mwaka 2017.

Baadhi ya waliosimama na kuwasha vipaza sauti leo ni Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe na haya ndio mapendekezo yake makuu kuhusu ishu 3 nzito kwa taifa ikiwemo dawa za kulevya na ushoga, bonyeza play hapa chini kumtazama

VIDEO: “Nitawataja Wabunge wanaouza dawa za kulevya nikiruhusiwa” – Mbunge wa Ulanga

Soma na hizi

Tupia Comments