Tangaza Hapa Ad

Mix

Picha 10: Yaliyotokea kabla ya bunge kuanza leo Dodoma

on

September 6 2016 mkutano  wa nne wa Bunge la 11  umeanza  mkoani Dodoma ambapo wabunge wa pande zote wameshiriki mkutano huo unaoendelea hivi sasa ukiongozwa na Spika wa bunge Job Ndugai lakini mkutano ulilazimika kuchelewa kuanza kwa dakika tano kutokana na dosari ya mfumo wa sauti kuleta hitilafu.

Akizungumzia hitilafu hiyo Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema  kutokana na hali hiyo amelazimika kufuta maswali ya nyongeza kwa baadhi ya wabunge siku hii ya leo ili kufidia muda uliopotea kutokana na hitilafu hiyo ya kiufundi.

Hapa nimekusogezea picha 10 za mwanzo kuanzia ndani ya bunge hadi nje kukuonyesha muonekano ulivyokuwa asubuhi ya leo.

2X6A6747

Eneo la bunge kwa ndani

2X6A6749 copy

Viti vya wageni waalikwa

2X6A6755

Wabunge wa viti maalum CCM Hawa Mchafu kushoto na Halima Bulembo wakiwasili bungeni

2X6A6769

Muonekano wa jengo la bunge kwa nje

2X6A6777

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiwasili bungeni

2X6A6781

2X6A6789

2X6A6797

Naibu Waziri Antony Mavunde

2X6A6800

2X6A6803

UKAWA WAMALIZA MGOMO, POLISI YAFUNGUKA SIKU 10 BAADA YA ASKARI KUUAWA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement