Watu 32 wauawa katika mashambulizi katika eneo linalozozaniwa kati ya Sudan na Sudan Kusini
Msururu wa mashambulizi katika eneo la Abiye, eneo linalozozaniwa kati ya Sudan…
Vyuo vyaaswa kutumia kamati za Ushauri wa kitasnia kupitia kwenye mradi wa Heet
Kongamano hilo la kitaifa lililowakutanisha washauri wa kitasnia wa vyuo mbali mbali…
Mtoto wa miezi miwili afariki baada ya kuanguka ndani ya sufuria la uji wa moto
Mtoto wa miezi miwili ameuawa baada ya kuanguka ndani ya sufuria la…
Zimbabwe: wagonjwa wa kipindupindu waanza kutibiwa
Wakati Zimbabwe ikipambana na mlipuko mbaya wa kipindupindu katika mji mkuu wake…
El Nino Kenya: idadi ya waliofariki yafikia 61
Mvua za El Nino zinazidi kuwaathiri watu wengi nchini Kenya huku taarifa…
Putin kuhutubia mkutano wa G20 wiki hii, Kremlin
Vladimir Putin ataweka wazi maoni ya Urusi juu ya kile inachokiona kama…
Hamas yakanusha ripoti kuhusu mpango wa kubadilishana wafungwa na Israel
Mwanachama mkuu wa Hamas siku ya Jumatatu alikanusha ripoti za vyombo vya…
Hali ya hewa huko Gaza yabadilika mvua zaanza kunyesha,hali ya wakimbizi ipo hatarini
Hali ya watu wanaoishi katika makazi huko Gaza imekuwa “mbaya” kutokana na…
Watoto waliozaliwa kabla ya muda waondolewa hospitalini kuelekea kivuko cha Rafah
Timu za ambulence zimeondoka katika hospitali ya Emirati kusini mwa Gaza- kuwapeleka…
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania yaanza kazi Zanzibar
Katika kutekeleza moja ya eneo la mashirikiano kati ya Taasisi ya Jiolojia…