Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

CHADEMA yaongea kuhusu Lawrance Masha kujivua uwanachama

on

Jioni ya November 14 2017 Waziri wa zamani wa mambo ya ndani kwenye Serikali ya awamu ya nne Lawrence Masha alitangaza kujiondoa kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA alikohamia mwaka 2015.

Baada ya Masha kutangaza uamuzi huo mpya, CHADEMA leo kupitia Msemaji wake Tumaini Makene imesema “Tunamshukuru Ndugu Lawrence Masha, muda wote tangu alipojiunga na safari ya mabadiliko kupitia CHADEMA

Tunamtakia heri katika fursa nyingine ya kisiasa anayotafakari, CHADEMA ni mwelekeo, MABADILIKO ni imani

MAGAZETI LIVE: Siri ya Masha kujitoa CHADEMA, Kigwangalla aonywa kufukua makaburi… play hapa chini usomewe yote

DR. SHIKA ASEMA “MIMI SIO MBABAISHAJI” AONYESHA KAMPUNI YAKE, BONYEZA HAPA CHINI KUMTAZAMA

“SIMUOGOPI YEYOTE, LIPUMBA NI PROFESA WA AJABU KWELIKWELI” – MBOWE AELEZA HAPA CHINI KWENYE HII VIDEO

Soma na hizi

Tupia Comments