Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Leicester vs Chelsea Septemba 20 2016, Full Time 2-4

on

Usiku wa Septemba 20 2016 michuano ya Kombe la EFL iliendelea tena England kwa michezo 7 kupigwa katika viwanja mbalimbali, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England walicheza dhidi ya Chelsea na kukubali kipigo cha goli 4-2 licha ya kuwa hadi dakika 45 za kwanza walikuwa mbele wao kwa goli 2-0.

Matokeo ya mechi za EFL zilizochezwa Septemba 20 2016

Magoli ya mechi za Leicester City vs Chelsea

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement