Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Msanii wa Bongofleva atakayeperform CAF Glo Awards na AFCON 2017

on

Msanii wa Bongofleva ambaye anafanya vizuri kwa sasa kutokana na kuachia hit-songs kila kukicha na kuteka muziki wa Africa, Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliopewa heshima ya kufanya show katika tuzo ya mchezaji bora Africa January 5  na michuano ya mataifa ya Afrika 2017.

Diamond ataanza kuperform katika utoaji wa tuzo za mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2016 maarufu kama CAF Glo Awards ambazo zitafanyika January 5 Nigeria, ila January 14 2016 ataperform katika uwanja wa Stade de l’Amitié Libreville wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 40000 wa kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya mwenyeji Gabon dhidi ya Guinea-Bissau.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement