Tangaza Hapa Ad

Duniani

Fahamu kuhusu kifaa ambacho ukiwa nacho hauna haja ya kwenda hospitali

on

Wanasayansi kutoka Swansea University, Uingereza wamegundua bandeji zinazojulikana kama ‘Smart bandage’ ambazo pindi anapofungwa mgonjwa hupeleka taarifa moja kwa moja kwa daktari hata kama mgonjwa huyo yuko nyumbani.

Bandeji hizo zinazotumia mfumo  wa 5G  zimewekwa kifaa maalum ambacho kina uwezo wa kupima hali ya maumivu ya mgonjwa na kupeleka taarifa kwa daktari bila ya mgonjwa kwenda hospitali ambapo kwa mujibu wa Daktari Marc Clement, bandeji hizo zitaanza kutumika rasmi mapema mwaka 2018.

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Hospitali kubwa iliyokabidhiwa kwa Chuo cha Muhimbili? Bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement