Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Wabunge Dodoma walivyomuaga Mbunge Hafidh Tahir aliyefariki saa tisa usiku

on

Mbunge wa jimbo la Dimani (CCM) Zanzibar Hafidh Ali Tahir amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Hospitalini Dodoma na kisha mwili wake kuagwa kwa kupewa heshima ya bunge asubuhi ambapo viongozi mbalimbali wa serikali na bunge walishiriki kabla ya kuusafirisha kwenda Zanzibar, unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Tazama mwili wa Samuel Sitta ulivyowasili Dar es salaam kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement