Tangaza Hapa Ad

Michezo

Staa atakayeukosa mchezo wa EFL Cup wa Man United vs Man City

on

Bado presha ya mchezo wa watani wa jadi wa jiji la Manchester utakaochezwa kesho October 26 katika uwanja wa Old Trafford kati ya Man United dhidi ya Man City  unazid kuchukua headlines kila kukicha, wengi wanatamani kujua na kuona Man United chini ya Jose Mourinho watakubali kipigo cha pili kutoka kwa Man City ya Guradiola.

Kama ni shabiki wa soka na unahamu ya kufahamu updates za mchezo huo, taarifa ikufikie kuwa Man City wameripotiwa na Sky Sport kuwa watamkosa katika mchezo huo wa EFL kiungo wao wa kimataifa wa Ubelgiji Kevin De Bruyne kutokana na kuwa majeruhi.

kevin-de-bruyne-1460813476-800

Kevin De Bruyne alipata majeruhi katika mchezo kati ya Man City dhidi ya Sothampton uliomalizika kwa sare ya 1-1 De Bruyne, alilazimika kutolewa dakika ya 46 na nafasi yake kuchukuliwa na Kelechi Iheanacho kutokana na kuwa na maumivu ya misuli.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement