Tangaza Hapa Ad

Mix

Na hizi ndio picha za Diamond akiwa na msafara wake kuelekea Nairobi.

on

140

 

Diamond amesafiri pamoja na bodyguard,Dj,mpiga picha,dancers na yeye mwenyewe kuelekea jijini Nairobi.

Safari hiyo ni kwa ajili ya show kwenye private party iliyondaliwa huko Nairobi japokuwa Diamond hajaiweka wazi ni party ya nini.

Hizi hapa ni picha tangu wakiwa Dar,ndani ya ndege hadi wanafika Nairobi.

218

76

85

95

 

416

 

 

 

 

Tupia Comments

Advertisement