Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

”Mpaka wauza Dawa za Kulevya wanasema VYUMA VIMEKAZA” Rogers Siang’a

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo February 13 2017 amekabidhi gari kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya ikiwa ni ahadi ya siku kadhaa zilizopita. Baada ya makabidhiano hayo, Kamishana wa mamlaka hiyo, Rogers Siang’a amepata nafasi ya kuzungumza.

Kamishna Siang’a amesema vita ya dawa za kulevya inaendelea na wanapamba katika mikakati mitatu mikubwa ikiwa ni kuzuia kabisa dawa kuingia nchini.

“Tunapambana katika mikakati mitatu mikubwa, kupunguza na kuzuia kabisa dawa zisiingie hapa nchini na wale wanaofanya biashara ya dawa za kulevya wanasema vyuma vimekaza usemi unakuja kutokana kwamba tumezuia dawa zisiingie hapa nchini,” -Rogers Siang’a

Soma na hizi

Tupia Comments