Tangaza Hapa Ad

Mix

AUDIO: Alichokiongea RC Dodoma kuhusu kifo cha mzee Pinda

on

November 29 2016 mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana amekutana na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi wa kifo cha aliyekuwa baba mzazi wa Waziri mkuu mstaaru Mizengo Pinda mzee Xavery Pinda kilichotokea mkoani hapo pamoja na ratiba ya kuaga mwili wa marehemu

Mzee Pinda amefariki akiwa na miaka 90, alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya viungo na kusababisha kushindwa kutembea kwa muda‘ –RC Rugimbana

Tatizo la mwisho lililosababisha mauti yake ni figo kushindwa kufanya kazi, juzi alipelekwa hospital baada ya kukosa fahamu‘- RC Rugimbana

Kesho tunatarajia kuaga mwili wa marehemu Xavery Pinda na kisha kumsafirisha kwenda mkoani Katavi kwa ajili ya mazishi‘ –RC Rugimbana

Unaweza kuendelea kumsikiliza RC Rugimbana kwenye hii sauti hapa chini…

ULIIKOSA HII WATU 9 WALIOKAMATWA NA POLISI DODOMA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement