Top Stories

Ditto alivyotoa burudani ya nguvu kwenye Tulia Festival Mbeya

on

Staa kutoka kwenye toko la Bongo Fleva Lameck Ditto maarufu kama Ditto haiku wa September 22, 2018 alilimiliki jukwaa la Tulia Traditional Dances Festival 2018 amble muhasisi wake ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson lililofanyika wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na kutoa burudani ya nguvu kwa watu wake baada ya kumalizika kwa tamasha la ngoma za jadi. Nimekusogezea video yrke hapa chini…

Dr. Tulia alivyoonesha uwezo wa kucheza na nyoka

Soma na hizi

Tupia Comments