Biko


Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Style kali za mabafu ya kisasa zinazotrend kwa mwaka 2017

on

Tofauti na fedha za kutosha kufanikisha ujenzi wa nyumba huwa unahitaji ubunifu mkubwa ili nyumba ipendeze na kuvutia pindi inapokuwa imekamilika. Kwa wale wapenzi wa mitindo mbalimbali ya ujenzi na vifaa vya nyumbani millardayo.com inakuletea design 5 za mabafu ambazo zimetrend sana kwa 2017 na pengine unaweza kuiga moja kati yao ili kujenga nyumba yenye bafu nzuri

1. HERITAGE

Image result for heritage style bathrooms

2. SHIMMER & SHINE

Image result for Pale and glossy bathrooms desigs

3. NATURAL LOOK

Image result for Natural look bathrooms designs

4. DRAMA

Related image

5. SHOW STOPPING SHOWERS

Related image

Ulipitwa na hii? Kitu Omarion ameongea akiwa na Diamond baada ya kutua Airport DSM

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement