Biko


Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Polisi imemdaka kijana alievamia shule na kujaribu kubaka Walimu na Wanafunzi kwa mkupuo Arusha

on

Ndio utajiuliza aliwazaje au kuanzaanza vipi kufikiria kwamba anaweza kuvamia shule na kuwabaka kwa mara moja Walimu pamoja na Wanafunzi.

Hata hivyo kijana huyo aitwae Musa Shakifu hakufanikiwa kwenye jaribu hilo la kuvamia shule ya Msingi Oltroto iliyopo Arumeru na tayari Jeshi la Polisi limemdaka ambapo Kamanda wa Polisi Charles Mkumbo amesema wanaendelea kumuhoji.

Mwalimu wa zamu kwenye shule hiyo amekiri kuvamiwa na kijana Musa ambae alionekana kutumia nguvu za kupitiliza kutaka kuwabaka kwa mkupuo Waalimu pamoja na Wanafunzi.

EXCLUSIVE: Mama Dogo Janja avunja ukimya ndoa ya Dogo Janja na Uwoya, aeleza kwanini hakuhudhuria harusi, bonyeza play hapa chini

VIDEO: Arusha inapendeza…. tazama barabara mpya ya njia nne imeanza kutumika, bonyeza play hapa chini kujionea

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement