Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Davido anatukaribisha kuitazama hii video yake mpya

on

Jina lake kwenye passport na na vyeti vingine rasmi linasomeka hivi >>> David Adedeji Adeleke, Dunia inamtambua kwa kazi nzuri ya muziki anaoufanya, anafahamika kwa jina la Davido.. kichwa kingine kinachoibeba Bendera ya Nigeria kwa kazi ya muziki anaoufanya.

Sasa leo October 4, 2016 ametuletea hii video yake mpya ya single iitwayo Gbagbe Oshi

ULIIKOSA HII YA BABU TALE KUHUSU UKARIBU WA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement