Tangaza Hapa Ad

Mix

Sentensi za kijana aliyetobolewa macho baada ya kupokea bajaji mbili..

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha vitu vilivyoahidi kwa Said Ally (Kijana aliyetobolewa macho) Buguruni Sheli anavipata.

Sasa ahadi hizo zimeanza kutolewa leo ambapo Bajaji mbili zimetolewa kutoka kwa Dkt (Syedna Mufaddal) ambae ni kiongozi wa mabohora duniani, makabidhiano hayo yamefanyika katika msikiti wa Mabohora uliyoko Upanga jinini Dar es salaam.

fgt56333

Baada ya kijana huyu kukabidhiwa bajaji hizo mbili aliyaongea haya>>Namshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda kwa kunisaidia, pia shukrani zangu kwa Clouds TV na Clouds FM kwa kunisaidia maana wao wamenipigania sana mpaka kufika hapa nilipo, vyombo vyote vya habari wananchi wote kwa maombi yao na michango yao kwa hali na mali.” 

ULIIKOSA HII YA KIJANA ALIYETOBOLEWA MACHO AMEKUTANA NA DIAMOND PLATNUMZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement