Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 11: Style za nywele za baadhi ya wachezaji wa timu ya Yanga

on

Mastaa wa soka ni watu ambao wanapenda kwenda na fashion mbalimbali kuanzia mavazi hadi namna ya unyoaji, kwa upande wa wanasoka tumezoea kumuona mchezaji kama Paul Pogba wa Man United akibadili muonekano wake wa  nywele mara kwa mara.

October 31 2016 nimezinasa picha za wachezaji 6 wa Yanga ambao nao ni miongoni mwa wachezaji soka wenye muonekano tofauti kichwani, naomba nikusogezee picha zikionesha muonekano wa nyweze za Matheo Antony, Haji Mwinyi, Andrew Vincent ‘Dante’, Mbuyu Twite, Hassan Kessy na Thabani Kamusoko.

img_2736

Andrew Vincent ambaye wengine wanamuita Dante kutokana na mfanano wa staili yake ya nywele na mchezaji wa Nice ya Ufaransa Dante Bonfim Costa

dsc_0086

Andrew Vincent

dsc_0107

Matheo Antony

img_2714

Matheo Antony

dsc_0050

Juma Mahadhi

img_2716

Juma Mahadhi

img_2742

Haji Mwinyi

img_2739

Thabani Kamusoko

img_2732

Mbuyu Twite

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement