Biko


Tangaza Hapa Ad

Mix

U HEARD: Wolper afunguka kuhusu video yake inayosambaa mitandaoni ya 40 ya Nillan

on

Kwenye U-heard ya February 13 2017 Mwigizaji wa Tanzania Jackline Wolper anahusika ambapo Soudy Brown amemuuliza kuhusu lile povu la kwenye siku ya 40 ya mtoto wa Diamond na Zari aitwae Nillan.

Kulikuwa na vyakula vingi lakini nilikula Kuku, kawaida siunajua usiku ulikuwa ushaingia alafu mimi huwaga kidogo nikiwa mweupe nakuwa mdogo kwaiyo ni akili za usiku pia zilikuwepo

“Unaongelea ile video niliyotolea povu? actually unajua mimi siyo muongeaji lakini huwaga ni mkweli naweza kutumia lugha hiyo”

Bonyeza play hapa chini kuisikiliza Full story

VIDEO: MAJIBU YA WOLPER KUHUSU LILE POVU 40 YA NILLAN

VIDEO: Diamond na Zari walivyotunzwa kwenye 40 ya Nillan, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement