Tangaza Hapa Ad

Magazeti

Nimekuchukulia habari nzitonzito kutoka kwenye Magazeti ya TZ Jan 02

on

Kila asubuhi Millard Ayo atazisogeza karibu yako habari zote kubwa kutoka kwenye Magazeti mbalimbali ya Tanzania ambapo huwa naziweka kwenye page ya Twitter ya @millardayo na kwenye Youtube ya millardayo bila kusahau millardayo.com.

Hizi hapa chini ni zile kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo January 02 2017 ambapo mojawapo ni kutoka gazeti la Nipashe kuhusu Zitto Kabwe kuzungumzia utumbuaji majipu wa serikali ya awamu ya tano kwa kusema kuwa nguvu kubwa imeeleekezwa  katika kutumbua na kusahau kuboresha maisha ya Watanzania.

AyoTVMAGAZETI: Vigogo Escrow waipa mtihani Korti Mafisadi, Kilichomponza bosi Tanesco, Bonyeza play hapa chini 

unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement