Tangaza Hapa Ad

Mix

TRAILERS: Movie 6 utazikuta Cinema Dar es salaam leo Jan 27

on

Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend ambapo good news ya weekend hii ni kwamba kuna movie mpya zimeingia kwenye big screen ikiwemo moja yupo mwigizaji staa Vin Diesel, nyingine yupo Mark Wahlberg.

Trailer za ratiba nzima ndio hizi hapa chini

The Return of Xander Cage

Patriots

Live by Night

Monster Trucks

Kaabil

Sing

BONGO MOVIE: Ulikosa kuona hii ya Mume kwenda Kazini alafu Wife akaleta Mchepuko? bonyeza play kwenye hii video hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement