Top Stories

Waliobomolewa makazi yao kando ya reli Arusha wafunguka

on

Jana February 12, 2018 Ayo TV na millardayo.com imepita baadhi ya maeneo ya Darajambili Arusha ambayo yanatakiwa kubomolewa ikiwemo maeneo ambayo ni Mita 30 kutoka usawa ambao reli imepita.

Mamlaka ya Reli ilitoa notice ya siku 30 kuagiza watu kobomoa nyumba zao ambazo ziko kwenye usawa huo wa reli inayopita eneo hilo.

Ayo TV imepata nafasi ya kuzungumza na wakazi wa eneo hilo ambao nyumba zao zimebomolewa kama ilivyoagiza mamlaka hiyo na wamezungumzia hisia zao kuhusu zoezi hilo na jinsi ambavyo limewaathiri.

Mpina ameagiza Watendaji katika Wizara yake kusimamishwa kazi

“Sijawahi na sitakaa nishirikiane na Diwani na Mbunge wa CHADEMA, Full Stop” RC Mnyeti

 

Soma na hizi

Tupia Comments