Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Mabibi na mabwana nawaletea Alikiba kutoka Mombasa Rocks Music Festival


Mwimbaji staa wa Tanzania Alikiba alikua kwenye list ya waliotumbuiza kwenye Tamasha la Mombasa Rocks Music Festival ambalo pia mgeni wake mkuu alikua Chris Brown kutoka Marekani.

Ukitaka kuona alichofanya Alikiba inabidi utazame hii video hapa chini

ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE ALIVYOTUMBUIZA MOMBASA ROCKS FESTIVAL BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement